MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII
Maendeleo ya Jamii ni taaluma ya ujenzi na utaalamu wa kuiwezesha Jamii kujenga Jamii endelevu iliyojiamini yenye kujitambua na yenye uwezo wa kujitambua na kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo kwa misingi ya haki na usawa.
Taaluma hii inawezesha jamii kubaini, mahitaji, fursa, kubuni, kuandaa, kupanga na kutekeleza miradi mbalimbali ya kujiletea maendeleo endelevu.
Maendeleo ya Jamii inawezesha Jamii kufahamu fursa za kiuchumi, kijamii, kiteknolojia, na kiutamaduni kama njia muhimu ya kuongeza kipato kwa jamii na kupunguza/kuondoa umaskini, kupigania usawa wa kijinsia, Maendeleo ya kielimu na Maarifa ya Matumizi mazuri ya fursa Sayansi na Teknolojia katika kujiletea Ustawi wa Maisha ya Familia, Jamii na Taifa kwa ujumla.
Katika kutekeleza utaalamu huu kwa sekta mtambuka inayounganisha majukumu yake na sekta zingine wataalamu wa Maendeleo ya Jamii wana wajibu ufuatao;
MAJUKUMU YA MSINGI YA MAENDELEO YA JAMII YAMEJIKITA KATIKA MAENEO YAFUATAYO;
Mbogwe District council ,Masumbwe-Mbogwe,Geita
Postal Address: P.O Box 1 Masumbwe
Telephone: +255734412592
Mobile: +255734412592
Email: ded@mbogwedc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.